Search the WhatsAd Community Intelligence index of WhatsApp groups to find the best ones.
1 result in the WhatsAd group index
Verified invite link, member details and advertising options on WhatsAd.
Hi
Kol 3:16-17 Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu. Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye. Kanuni za group 1.si ruhusa kutuma link zisizohusu Bible marathon 2. Si ruhusa kuleta uchochezi wa Aina yoyote,ukishindwa kujifunza ruksa kuondoka Kwa Amani,usilete fujo au kushawishi fujo 3.ni lazima kusoma biblia na kujadili ndani ya group 4. Ni muhimu kushirikiana na watu wengine Katika group Katika changizo mbalimbali ili kujenga mwili wa Kristo
Cholinga Cha ambuye wanthu yesu khristu ndichonso cholinga chathu ,chomwe kusakasaka ndikupulumutsa chotaikacho Luka 19:10 potumikila mau kuchokela buku lopatulika